.

Jumanne, 14 Juni 2016

Picha:Wizkid ame Break the Internet


Moja ya stori ambazo zimeweza kuteka vichwa vya Habari mtandaoni ni hii ya mwanamuziki kutoka Nigeria Wizkid kufanya Magazine cover akiwa amekaa chooni.

Wizkid amefanya cover hiyo kwenye jarida la FAB (FABULOUS. AFRICAN. BLACK.FABULOUS) ambalo ni maarufu huko nchini Nigeria kwa kuweka stori za fashion pamoja na maisha ya wasanii huku likiwa na asilimia 80% ya stori za Afrika.


Wizkid pia alikuwa Amsterdam akitumia steji moja na mkali wa miondoko ya RnB Chris brown kwenye Tour yao ya “One hell of a night tour”

Miongoni mwa wasanii wakubwa ambao nao walishawahi kuposti picha zao wakiwa chooni ni Rapper The Game alipokuwa anaachia Album yake ya The Documentary 2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni