.

Jumanne, 14 Juni 2016

Je unafahamu kuwa Raymond wa wcb kachora ngoma kadhaa za mastar hapa bongo


Raymond aka Rayvanny kutoka Wcb ni miongoni mwa wasanii wachanga ambao wamewaandikia wimbo wasanii wengi na wakubwa kipande hiki cha bongo.

Kuna hit kadhaa za bongo zimetoka kwa Rayvany akiongea na perfect crispin kwenye 255 Ray alisema kuwa kashachora hit kadhaa za wasanii wa bongo kama vile Diamond platinum,Shetta na vile vile AKA kutoka South Africa

Ngoma zilizo pita kwenye mikono ya Rayvanny ni kama Shikorobo iliyofanya na Shetta huku zikija hit nyingine za sio mchoyo aliyofanya Young dee feature Jux bila kusahamu Zigo remix ngoma ya Ay feature Diamond platnumuz.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni