.

Jumapili, 7 Mei 2017

Ajali Mbaya Yatokea Muheza

Huku bado tukiwa bado tunauguza vidonda vya maumivu ya ajali iliyochukua roho za watoto wetu huko tanga napo basi aina ya coaster imegonga lori kwa nyuma na vimeripotiwa vifo kadhaa.


Updates zinakuja zaidi..

Ajali mbaya imetokea eneo la Lusanga Muheza. Basi aina ya Costa ikitokea Tanga kuelekea Korogwe, imegonga roli kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu. Ni usiku huu.

Bado nafuatilia habari hii kwa kina

IMG-20170507-WA0075.jpgIMG-20170507-WA0078.jpgIMG-20170507-WA0076.jpg
[​IMG][​IMG][​IMG]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni