.

Jumapili, 7 Mei 2017

Izzo B Na Abela Sasa Kila Kitu Hadharani

Msanii Izzo Bizness anayeunda kundi la ‘The Amazing’ na  Abela, ametoa wimbo mpya uitwao “Tumeoana”, hii ni nyimbo ya pili kwa kundi hilo kuzugumzia mapenzi.
Kupitia nyimbo ya “Tumeoana” huwenda wamekiri kuwa ni wapenzi. Izzo na Abela mara kadhaa wamehisiwa ni wapenzi lakini wao wamekuwa wakikanusha stori hizo wakisema wao ni washikaji tu, na sio wapenzi.
Audio ya nyimbo ya “Tumeona” imetengenezwa na Abba , huku video ikifanywa na Director Nick Dizzo wa Focus Film.
Itazame video hii kisha usikilize mstari kwa mstari na uniambiee, wewe mdau unaonaje, Izzo na Abela ni couple mpya ya mastaa bongo?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni