.

Ijumaa, 4 Novemba 2016

Rihanna awaza collabo na Meek Mill

Baada ya rapa Meek Mill kutoa mixtape yake kali ya DC 4 , colabo zimekuwa zikimwagika na jina lake kutajwa.
This time wanasema rnb staa ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Drake ambaye ni hasimu wa Meek Mill ‘Rihanna naye anaitaka colabo ya Meek Mill.
Mashabiki wengi wamehamia upande wa Meek Mill baada ya kutoa mixtape yake bila kumdiss mtu na kuonyesha kukua kama amsanii.
Kwa sasa Drake yupo studio na Taylor Swift wakifanya colabo yao.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni