Tayari Nick Cannon ana watoto wawili na Ex wake Mariah Carey na sasa pamekuwa na ripoti kuwa mpenzi wake mpya Brittany Bell anaujauzito.
Nick Cannon na Brittany Bell wameripotiwa kutegemea mtoto wa gazeti la Us Weekly, wawili hawa wamekuwa kwneye mahusiano toka mwaka 2015 ila walitengana mwanzoni mwa mwaka huu na sas wamerudiana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni