.

Jumanne, 8 Novemba 2016

Lola Rae kusainiwa na lebo ya Davido DMW


Baada ya msanii mrembo Lola Rae Kupata shavu kutoka kwa Davido kwenye wimbo wake wa Biko, Bahati ya mtende bado imeendelea.
Mrembo huyo ameweza kupata shavu la kusainishwa kwenye label na Super star huyo aliyetamba na ngoma kama Skelewu, Aye na ngoma nyingine kali.
Mapema mwanzoni mwa wiki hii, Davido aliposti kwenye ukurasa wake wa Instagram Picha yake na kuandikia maneno “LOLA RAE WELCOME TO DMW!!! 1ST LADY !!!”

Akiashiria kumkaribisha kwenye familia hiyo ambayo mpaka sasa inawanafamilia watatu tu na akiwa ni Mwanamke wa kwanza kwenye lebo yake ya DMW.

Bonyeza HAPA kudownload application yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni