.

Jumatatu, 14 Novemba 2016

Baba mzazi wa Angelina Jolie Jon Voight aingilia kati talaka ya mwanae na Brad Pitt.

Baba mzazi wa Angelina Jolie ‘Jon Voight’ ameongelea talaka ya mtoto wake na mume wake na kusema mategemeo yake ni kuelewana kwao ili watoto wao wawe na maisha mazuri.
Jon Voight amesema “Nashukuru kwa maombi ya mashabiki zao na mategemeo yangu ni mambo yao yataenda salama”
Jon Voight amekuwa akiwasiliana na wote wawili ili kusuluisha tofauti zao hivi karibuni.

Bonyeza hapa kudownload application yetu


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni