.

Jumamosi, 8 Oktoba 2016

Mafikizolo wampa shavi Vanessa Mde kwenye nyimbo yao mpya


Muziki wa Tanzania unaendelea kukua siku baada ya siku na ndio maana kundi maarufu zaidi Afrika la Mafikizolo limemtumia Vanessa Mdee kwenye uandishi wa wimbo wao mpya.
Msanii wa kundi hilo, Nhlanhla nciza atoa taarifa hizo kwenye page yake ya Instagram
                     
New single alert🚨 “kucheza” by @mafikizolo_africaproduced by @djmaphorisa and co written by east africa’s first lady of music, the beautiful @vanessamdee ,sa’s hip hop new kid @klyofficial ,@theomafikizolo and yours truly. can’t wait for y’all to hear it💋💋
#anothereast/southsound #hiphopmeetsraggameetsafropop


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni