.

Jumatatu, 17 Oktoba 2016

Lover Boy ya Barnaba kutoboa anga


Siku zote kitu kizuri huishi kwa uzuri wake, na kitu bora lazima kitapenya tu kutokana na ubora wake.
Ndivyo ilivyo kwenye kazi mpya ya Baba SteveBarnaba Boy inayoitwa “Lover Boy”, inazidi kupenya tu kila siku kimataifa kutokana na ukali wa kazi hiyo.
Jana imepata airtime katika kituo cha Trace kwa kuchezwa kwenye chati za Smash Hit.

Kupata habari kila zinapotufikia download application yetu HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni