Ni Sept 21, 2016 ambapo majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016.
Diamond anawania kipengele kimoja cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa), Patoranking (Nigeria).
Navy Kenzo wanawania kipengele cha Best Group ambapo wanachuana na Toofan (Togo) , Micasa (South Africa) , R2Bees (Ghana).
Alikiba ametajwa kuwania kipengele cha Best Collaboration kupitia wimbo aliyoshirikishwa na Sauti Sol uitwao Unconditionally Bae.
Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol wanaowania kipengele cha Best Group of the Year na Best Collaboration huku Uganda imewakilishwa na Eddy Kenzo anayewania kipengele cha Best Live Act.
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya tarehe 22 October, 2016 huko Johannesburg, Afrika Kusini na tukio hilo kuoneshwa moja kwa moja kupitia channel ya MTV Base.
Hii ni orodha kamili:
Best Live Act
Stonebwoy (Ghana)
Cassper Nyovest (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mr Flavour (Nigeria)
Eddy Kenzo (Uganda)
Best POP/ ALtenative
Tresor – Never let Me Go
Shekinah & Kyle Deutsch- Back to the Beach
Timo ODV- Find My Way
LCVL ft Sketchy Bongo- Cold Shoulder
Desmond & The Tutus – Pretoria Girls
Personality of the Year
Caster Semenya
Linda Ikeji
Pearl Thus
Wizkid
Pierre Emerick
Best Group
Toofan (Togo)
Micasa (South Africa)
Navy Kenzo (Tanzania)
R2Bees (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)
Best Male
Black Coffee (South Africa)
Diamond Platnumz (Tanzania)
AKA (South Africa)
Patoranking (Nigeria)
Wizkid (Nigeria)
Best Lusophone
NGA
Nelson Freitas
C4 Pedro
Lizha James
Preto Show
Best International Act
Beyonce
Drake
Adele
Future
Rihanna
Best Collaration
AKA ft Yanga, Burna Boy, Khuli Chana -Baddest
Dj Maphorisa, ft Wizkid, Dj Buckz- Soweto Baby
Nasty C ft Davido, Cassper Nyovest – Juice Back Remix
Sauti Sol ft Alikiba – – Unconditionally Bae
Patoranking ft Sarkodie -No Kissing
Best Hip Hop
Emtee (South Africa)
Ricky Rick (South Africa)
YCEE (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Kiff No Beat (Ivory Coast)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni