Mkali kutoka Lagos Nigeria, Davido kupitia mtandao wake wa Twitter amefunguka namna ambavyo ameshangazwa na kufurahishwa baada ya Hit song yake yaSkelewu kutumika katika moja ya movies kubwa huko Hollywood Marekani. Movie hiyo (Qween of Katwe) ambayo amecheza Lupita N’yongo na David Oyelowo kama wahusika wakuu.
“Sikuwahi kufikiri ningeweza kusikia Skelewu kwenye movie ya Disney. Nimestaajabu#QweenofKatwe @iamshizzi CRAZY SHIT @Lupita_Nyongo Ubarikiwe!!
Movie hiyo ambayo Lupita pamoja na David Oyelewo wameanza kuipiga promo itatoka rasmi Sept 31 kwenye majumba ya sinema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni