.

Jumamosi, 10 Septemba 2016

LIL WAYNE AMCHANA BIRDMAN KWENYE NGOMA HII


Rapper Lil wayne ameachia wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Guda Guda, ndani ya wimbo huo wayne kaichana Cash Money live bila chenga.
Baada ya kuishtua industry ya muziki wa HipHop na mashabiki kwa ujumla juu ya ujumbe wake ambao ulileta utata ambao ulikuwa ukionyesha kwamba Lil wayne anatarajia kuacha muziki baada ya kuwa na matatizo mengi na label yake ya zamani Cash mOney, Weezy ameamka upya na ngoma yake mpya inaitwa “Greatful”.
Ngoma hiyo Lil Wayne amemchana BirdMan kwa kumuita jina lake bila yakulifichaficha
“And you don’t see Stunna right next to me / And I won’t see Stunna write checks for me They can’t put no more Weezy Baby out, that’s that Cash Money vasectomy No more CMB, excuse my French but you know what you can muaa / Excuse my Spanish but it’s no mas, I’ve been working hard for no prize but I’m still grateful though I show pride.”


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni