.

Alhamisi, 4 Agosti 2016

Mti Wenye Sura ya Donald Trump Waonekana Uingereza



DUNIA ina maajabu mengi, wakati joto la uchaguzi nchini Marekani likiwa limepamba moto, mti wenye sura inayofanana na mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump 


Mti huo umeonekana huko Glewstone, Hereford nchini Uingereza.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni