.

Alhamisi, 4 Agosti 2016

VERA SIDIKA (MREMBO WA KENYA), KATOA UJUMBE HUU MZITO JINSI ANAVYOPATA PESA


Video vixen maarufu nchini Kenya ambaye alianza kuchukua umaarufu kutokana na umbo lake lenye mvuto kisha habari zake zikazidi kusambaa baada ya kuyanywa maji mengi yale ya Ray na kisha kuonekana anamiliki mjengo wa kifahari.


Vera Sidika, ameamua kutupia ujumbe Instagram ulio ambatana na picha hiyo hapojuu kuhusu maisha yake na njia yake ya kufanikiwa.
Vera Sidika ameandika “At this Age I’m only interested in Consistency, Stability, Respect and Loyalty. But I don’t expect anyone to understand my journey…because I know the path I walked through to get to where I am today. Grateful!
👑QVB👑

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni