.

Alhamisi, 21 Julai 2016

Ubunifu wa nyumba zilizojengwa na kuelea juu ya maji


Mtu wangu kadri sayansi na teknolojia inavyopanda juu kila siku mambo nayo yanabadilika, kama ni mtu ambaye unapenda masuala ya ujenzi wa nyumba nzuri za kisasa basi sitapenda upitwe na huu ubunifu leoJune 21 2016, nakusogezea list ya  nyumba  zilizojengwa juu ya maji na kuelea kama boti.
Mtu wangu usisahahu kuniachia  comment yako umevutiwa na ipi kati ya hizi.
1.Villa iliojengwa juu ya maji mjini Dubai
dubai
og
ogg
chumba kilichopo ndani ya maji kwenye nyumba hiyo
2Nyumba hii imejegwa nchini Singapore na inatumia umeme wa mionzi ya jua (solar)
singapore
s
Beautiful-and-airy-interiors-viuslaly-connected-with-outdoors
3Nyumba zilizojegwa mjini Citadel barani Ulaya
cc
h
4Nyumba hii imejengwa mjini Portland nchini Marekani.
k
kk
kkk
5. Nyumba hii ya kifaa cha UFO yenye kutumia umeme wa mionzi ya jua pia ina generator inayoweza kubadilisha maji ya mvua au maji ya bahari kua maji safi na salama kwa kunywa.

the-aptly-named-ufo-is-designed-to-serve-as-a-floating-house-it-has-a-vegetable-garden-on-the-outer-deck-with-essentials-for-living-located-inside-the-pod

ggg
ll

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni