Jumba hilo liko kwenye eneo lenye ukubwa futi za mraba elfu themanini (80,000) ufukweni mwa jiji la Florida. Trump alinunua jumba hilo kwa dola za Marekani Milioni 5 mwaka 1985 na kulifanyia ukarabati ambapo sasa lina vyumba vya kulala 58, bafu 33, jiko lenye meza za Marble kwa ukubwa wa futi 29, pamoja na sehemu za kuwasha moto 12.
Nyota wa Arsenal Mesut Ozil amenunua mjengo mpya ambao upo London wenye thamani ya £10million.
Tazama hapa.





Bonyeza HAPA kudownload application yetu kwa habari kede kede