Tunajua hiki ni kipindi ambacho wachezaji soka duniani kote wanamalizia mapumziko ya likizo zao za soka baada ya Ligi zao kumalizika na sasa wanajiandaa kwa ajili ya msimu mpya wa 2016/2017, Cristiano Ronaldo ambaye aliiongoza Ureno kutwaa Euro 2016, yeye na familia yake mama, mwanae na ndugu zake kwenda fukwe za Ibiza Hispania mapuzikoni.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni