.

Alhamisi, 14 Julai 2016

Young Killer kakubali kujiunga lebo ya WCB?


Hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuwa huenda Young Killer atakuwa miongoni mwa wasanii atakayeungana na timu ya WCB.
Sasa July 14, 2016 Ayo TV ilimpata Young Killer na kueleza tetesi hizo na kusema..‘Hizo taarifa si za kweli maana watanzania wanakuambia tuletee picha halafu wao watapata maneno ya kuandika hii ilitokana na ile picha niliyopiga na Diamond Platnumz kipindi nilivyoenda ofisini kwake, lakini siko kwenye lebo ile ila ikitokea naingia natamani kufika mbali kimuziki’- Young Killer

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni