.

Jumatatu, 18 Julai 2016

2chains kufungua Restaurant yake kipindi hiki cha jua


Rapper 2chains anazidi kuwekeza katika biashara mbali mbali inje ya muziki wake anaofanya na safari hii katangaza kuja na biashara ya Restaurant inayo julikana kama Escobar restaurant and lounge ambayo inafungulia katika jiji la Atlanta, kwamjibu wa page ya instagram ya mgahawa huo nikuwa unafunguliwa msimu huu wa jua.

Mgahawa huo kwasasa bado huko kwenye matengenezo lakini rapper 2chains kapost picha ambayo inaonesha mgahawa huo ukiwa bado kwenye matengenezo na kuandika maeneo haya:

so i think it’s time i let y’all in my newest venture as an enterprenur this spot is called @escobarlounge my first club/lounge in city of Atlanta off peter St.. #Godisgood.. will be given opportunities and hiring reliable
employees in the near future 1love 2chains.

Pia 2chains amekuwa akijiushisha na biashara nyingine kama CEO,000,000 clothing line, TRU University Label, TRU Foundation na 2chains shop.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni