.

Ijumaa, 24 Juni 2016

Wema Sepetu na ex boyfriend wake 'Luis Munana'....Wamerudiana?


Wema Sepetu na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa aliyeiwakilisha Namibia Luis Munana, walishawahi kuwa wapenzi suala ambalo halikuwa siri, kwani account zao za mitandao ya kijamii hususani Instagram, zilijieleza lakini baadae waliachana na kila mmoja alifuta picha zote walizowahi kupiga pamoja.
idris
Baadae Wema akaweka wazi mapenzi yake kwa mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan ambaye alikuwa rafiki wa ex boyfriend wake. Baada ya Wema  na Luis kila mmoja kufuta picha za mwenzake instagram, hawakuwahi kupostiana tena, hadi Alhamisi ya June 23 2016 kila mmoja alipoamua kumpost mwenzake na maneno ambayo hayakueleweka walikuwa wanamaanisha nini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni