.

Jumanne, 14 Juni 2016

Walk it off ya Fid q imemfunza kutokutumia lugha ya kiingereza.



Fid q alishawai kuzungumza kuwa walk it off ndio ngoma ambayo inaelekea kumpa deal kubwa kuliko ngoma zake zote alizowahi kutoa kwasababu inaelekea kutumika kwenye movie inayo tengenezwa njee ya bongo.

lakini Fid q anasema kuwa walk it off imemfunza kuachana namatumizi ya lugha ya kiingereza kwenye ngoma zake kwakuwa kuna watu ushaingilia sehemu tu za kiswahili huku wengine kutokuelewa kabisa ameongea ivyo na perfect crispin kwenye 255.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni