.

Jumatatu, 20 Juni 2016

Vanessa Mdee achaguliwa kuwania tuzo hizi kubwa 2016


Vanessa Mdee ni msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa kuwania Tuzo na Nigeria, Nigerian Entertainment Awards 2016 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa kike wa Afrika/ Nje ya Nigeria ‘African Female Artist (Non Nigerian / Africa)’

Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).

Huku upande wa Msanii Bora wa kiume wa Afrika/ Nje ya Nigeria kundi la wasanii wa Kenya, Sauti Sol linachuana vikali na wasanii wengine kama Stonebwoy na Sarkodie wote wa wa Ghana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni