Mkurugenzi huyo wa mkubwa na wanawe amefunguka kuwa yale mambo ambayo tuliyokuwa tukiyaona kwenye mtandao yalikuwa ni mambo hayakumaanishwa.
Akiongea na 255 Mkubwa fella amezungumza kuwa alichokifanya Aslay ilikuwa ni kuangalia kama mashabiki wa yamoto bado wapo ndio akaamua kutengeneza kitu kama hicho ilikujua mashabiki wake.
“Kama ukiwa mda mwingi umekaa pembeni ukawaachia wenzio washiriki alafu ukataka kulazimisha maashabiki wako unarudi lazima kwanza uulize mashabiki bado ninao au wenzangu walishanipora….kilichofanyika kwa Aslay ni kwamba alisema nikimention kitu flani mashabiki wa yamoto bado wapo na ndio maana nyimbo yetu ilifanya vizuri” Alisema Fella
Hata hivyo Fella amezungumzia kuhusu mashabiki kupenda kujaji vitu vya watu kwenye mitandao ya kijamii haswa ya Instagram
“Sisi watu wengi kwenye mainstagram haya tunatasfiri sana kuhusu hata yule mlengwa kitu alichokiposti” Aliongeza Fella
Yamoto Band na Ruby kwasasa wanatamba na kibao cha Su
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni