.

Alhamisi, 9 Juni 2016

Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa

Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa yaDar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini
Waziri Mpango alisema tathmini ya hali ya umaskini kimaeneo iliyofanyika kwa kutumia takwimu za sensa ya watu ya mwaka 2012 na utafiti wa hali ya kipato na matumizi katika kaya wa mwaka 2012,unaonyesha matokeo chanya na kutofautiana kimkoa na wilaya
Waziri Mpango alisema mkoa wa Kigomaunaongoza kwa kuwa na umaskini mkubwa wa 48.9% ukifuatiwa na Geita (43.7%)Kagera (39.3%)Singida (38.2%) na Mwanza (35.3%).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni