.

Jumanne, 14 Juni 2016

Audio: Yamoto Band na Ruby wanatualika kwenye 'Suu


Baada ya Headlines za Aslay na Ruby kutoka kimapenzi Yamoto Band pamoja Rubywanatualika kuusikiliza wimbo wao mpya ‘Suu‘ chini ya Producer Shirko, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataiona hapa.
Bonyeza HAPA kudownload na au kusikiliza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni