.

Jumatano, 8 Juni 2016

Aka kuingia kwenye tamthilia ya Empire?

Tazama alichokisema Cookie
Kuna uwezekano rapper wa Afrika kusini, Aka akajiunga na tamthilia yenye mashabiki lukuki ulimwenguni ya Empire.

Aka amekutana na waigizaji namba moja wa tamthilia hiyo,  Taraji P Henson na Terrence Howard ambao wapo Afrika kusini kwa ajili ya uzinduzi wa channel mpya ya FOX Afrika.

“You were a wonderful host @akaworldwide I AM A BIG FAN OF#AfricanMusic ” Taraj ameandika kwenye Instagram yake. “Thank you for being so kind to us! AND YES WE SHOULD HAVE YOU ON THE SHOW @theoriginalbigdaddy ”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni