.

Jumanne, 17 Mei 2016

Picha,Ukiacha Chris Brown,Diamond Platnumz anategemea kufanya collabo na hawa wengine wakali.

Ukiacha collabo ya Diamond Platnumz na Chris Brown iliyothibitishwa na MTV Base Africa, Inasemekana lebel kubwa nchini Marekani ya RCA imefanikisha colabo zingine mbili za Diamond na wasanii wengine nchini Marekani.

RCA ni ‘Radio Corporation of America‘ inayofanya kazi na lebel zingine kubwa kama Columbia Records,Epic Records na Sony Music Entertainment.

Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameunganishwa na wasanii wengine kama Shakira na Miley Cyrus na atafanya nao kazi.





Bado hatujathibitisha Taarifa hizi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni