.

Jumanne, 17 Mei 2016

Floyd Mayweather anatumia milioni 6 za kibongo kwenye issue hii moja kwa wiki.


Bondia mtaafu Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake.  Kinyozi wake ambaye ni mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”

Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni