.

Jumanne, 17 Mei 2016

NDEGE KUBWA ZAIDI DUNIANI YATUA AUSTRALIA




•Ni-Antonov An-225 Mriya (mriya inamaanisha ndoto kwa kirusi)
•In urefu wa mita 84 (karibu sawa na kiwanja cha mpira)
•Ina uzito wa tani 175 (sio za sukari) na hapo ni kabla haijabeba mzigo wala mafuta.
•Ina matairi 32.
•Ina Injini 6.
•Ina mikia pacha (miwili)
•Inakimbia Kilomita 850 kwa saa 1.
•Wakati inatua Australia ilikuwa ikisafirisha jenereta yenye uzito wa tani 117.

Chanzo: BBC


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni