.

Jumatano, 18 Mei 2016

Huyu Mtanzania ajiachia na mastaa wa Empire, kuonekana kwenye tamthilia hiyo wiki hii

Muimbaji wa Tanzania, Koku Gonza alitajwa kuwa ataonekana kwenye msimu mpya wa tamthilia ya Empire ambao unaisha wiki hii.


Muimbaji huyo wa Tanzania aishiye Marekani ameachia picha nyingine akiwa onset na mstaa wa Tamthilia hiyo, Jussie Smollett na The Wire, amesema ataonekana kwenye tamthilia hiyo kwenye episode ya wiki hii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni