.

Jumatano, 18 Mei 2016

Huyu ndio mwanamke mzuri zaidi duniani kwa mujibu wa Jarida la People

Muigizaji, Jennifer Aniston ndio mwanamke mzuri zaidi mwaka 2016 “World’s Most Beautiful Woman” kwa mujibu wa jarida la ‘People Magazine’
'People' magazine names Jennifer Aniston their most beautiful woman for 2016.

“It’s funny, it’s a really quick transition from not a care and now all of a sudden, we’ve got to really be mindful of what we put inside our bodies,” Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 47 aliliambia jarida hilo.
“And how we sleep and take care of ourselves. You can get away with a lot in your 20s.”
Hii si mara ya kwanza, alishawahi kupewa heshima hiyo mwaka 2004.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni