.

Jumatano, 18 Mei 2016

Vanessa Mdee na Shilole warushiana maneno makali mitandaoni, chanzo

Wanamuziki Vanessa Mdee na Shilole hawapo kwenye maelewano mazuri, wamerushiana maneno makali mitandaoni.

Vannessa Mdee aliweka maneno makali kwenye snapchat yake bila ya kumtaja mlengwa moja kwa moja kabla ya shilole kuamua kumjibu kupitia Instagram.
“Mzurii mzurii.. tukiitwa wazuri na wewe utasimama?.. kwa uzuri gani basi!!!” Vanessa aliandika kwenye Snapchat yake “Uso umekukauka kama jua la kiama..Kwanza nenda gym ndo tuongee vizuri… umenenepeana kama paka wa jikoni” Aliongeza.
Shilole aliamua kuweka majeshi yake Instagram, aliweka Screenshot ya snapchat ya Vanessa na kuandika
“Jamani Vee kaanzisha ugomvi na wa igunga ajue tu kuumaliza. kukauka kama kuni vepeeee #SayMaName..” Aliandika Instagram, “Vee jipange sana mwenzio IGUNGA niliaga cjaletwa kwa kubebwa kwenye lori nimekuja na mbio za mwenge. We c wa magorofan na kingereza chako cha kuunga mi ndo mtoto wa mbwa sasa mani*******”
Wawili hao wamekuwa wakishindanishwa hivi karibuni baada ya shilole kusema yeye ndio mwanamke mzuri zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni