.

Jumatatu, 17 Aprili 2017

kuvunjika kwa ndoa ya T.I ni mke wake ni Tiny kuchepuka na Floyd Mayweather



Floyd Mayweather anaelewa kwanini T.I alijaribu kupigana naye mjini Las Vega, ni kutokana na kusikia tetesi kuwa amelala na mke wake Tiny na kwamba anajitamba kufanya jambo hilo.
Toka T.I apate taarifa hizi pamekuwa na matatizo kwenye ndoa yao na hivi karibuni baada ya kuthibitisha kuwa wameachana na talaka tayari iko kwenye bomba, TMZ wamethibitisha kuwa tukio hili la mke wa T.I na Floyd limetokea na ndio maana wanaachana baada ya miaka sita kwenye ndoa.

Ushihidi mwingine ni wakati wa ugomvi kati ya T.I na Floyd, bondia huyu alisikika akisema “What about the bitch? I was f***ing his bitch.”
Inasemekana T.I alijaribu kuficha maumivu haya kiume ila akashindwa na kuamua kuweka mambo wazi….

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka HabNews Tv

Bonyeza HAPA kupakua application yetu na upate habari punde zitufikiapo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni