
Miongoni mwa nguzo za nchi yoyote duniani ni jeshi, jeshi ni nguzo yenye nguvu na kubwa zaidi. Inaelezwa kuwa sifa ya nchi yoyote ni uwezo wa jeshi lake katika kupambana kwa ajili ya watu wa nchi yake.
Nimeipata hii list ya nchi 15 ambazo majeshi yake yana nguvu zaidi duniani, list hii imezingatia uwezo wa majeshi yote ya ardhini, majeshi ya anga, majini, vikosi maalumu na silaha zake, helkopta, meli, ushawishi wa jeshi duniani, mipango yake ya baadaye na rekodi zake kwenye mapigano yaliyopita. Katika list hii kutoka Afrika jeshi la Misri limetajwa katika nafasi ya 10.
15. Australia

14. Germany

13. Italy

12. Uingereza

11. Israel

10. Misri

9. Pakistan

8. Uturuki

7. Ufaransa

6. Korea Kusini

5. India

4. Japan

3. Russia

2. China

1. United States
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook , Google Play Store na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka HabNews Tv
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni