.

Alhamisi, 1 Desemba 2016

Bifu la Lady Jay Dee na Clouds Lazikwa Rasmi


Unaambiwa Kwa Sasa hakuna cha Komando wala nini, ile bifu kubwa kuwahi kutokea kwenye game ya Bongo Flava kati ya Clouds FM na Lady Jay Dee imezikwa rasmi baada ya Uongozi wa Lady Jay Dee Kuruhusu kituo hicho cha radio kupiga nyimbo za Lady Jay Dee iwezavyo kuanzia sasa...

Bonyeza HAPA kudownload application yetu


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni