.

Alhamisi, 1 Desemba 2016

Baraka The Prince amemsain Lord Eyez BANA

Na mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.

BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo Rapper Lord Eyes

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wKpWorld

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni