.

Jumatatu, 14 Novemba 2016

The Industry wamtimua Seline



Tahadhari kutoka uongozi wa The industry Studio Tanzania msanii seline (Roseseline Muhagachi) hayupo tena chini ya uongozi wa lebo “The Industry” inayomilikiwa na NAVYKENZO (Aika&Nahreel)
Hii ni kutokana na matukio mbalimbali ya utovu wa nidhamu ambayo  yalitokea akiwa chini ya uongozi wa label hiyo

Selline Wa Pili Kushoto.
The industry haihusiki na shughuli,matangazo wala matukio yeyote yanayomhusu mwanadada seline(roseline Muhgachi)

Bonyeza HAPA kudownload application yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni