.

Jumatatu, 14 Novemba 2016

Hatimae Jackie Chan anyakua Oscar Award

Actor Jackie Chan poses with his Honorary Award.
Baada ya miaka takribani 56 katika industry ya Filamu, kuigiza movie 200 na kuvunjika kwa mifupa yake kila anapokuwa anaigiza, hatimaye Jackie Chan amejishindia tuzo yake ya Oscar kwa mara ya kwanza.

Siku ya jumamosi katika annual Governors Awards nguli wa movie za Martial arts na komedi, Jackie Chan kwa mara ya kwanza alipokea tuzo yake ya Oscar, wakati akipokea tuzo yake, Jackie alisema kwamba anakumbuka kipindi hicho miaka 23 iliyopita aliwahi kuiona tuzo ya Oscar nyumbani kwa  Sylvester Stallone’s (Rambo) na akasema kwamba ipo siku na yeye ataimilikiActor Chris Tucker presents Jackie Chan with his award.


Bonyeza HAPA kudownload application yetu kwa habari moto moto

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni