.

Jumatatu, 14 Novemba 2016

Dully Sykes amedai aliachana na ishu ya bif yake na TID kutokana na umri wake

Hapo zamani, Dully Sykes na TID walikuwa kama paka na panya. Na sasa Dully ameibuka na kudai umri wake na pia kuwa na majukumu mengi, vilimfanya asione umuhimu wa kuendelea na tofauti zao.
dully-na-tid
Alikuwa akizungumza tofauti zilizopo kati ya Diamond na Alikiba na kudai kuwa ipo siku wakikua, wataacha.
“Hata mimi pia ilivyofikia kwenye age moja hivi nilikuwa na matatizo na TID, zamani. Lakini nilipoweza kukua niliacha hivyo, nilivyoanza kupata majukumu nikasahau kwamba tulikuwa na matatizo,” Dully alimweleza Lil Ommy kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM.


Bonyeza HAPA kudownload application yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni