.

Jumatatu, 7 Novemba 2016

Diamond akomba Tuzo Taru AFRIMA

img_2800
Diamond akishukuru baada ya kushinda tuzo ya tatu kwenye Afrima

Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.
Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima

Bonyeza HAPA kudownload application yetu


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni