.

Jumatatu, 17 Oktoba 2016

Pesa anazoingiza Adele kwa Siku

Adele now earning 84,000 Pounds daily 



Nimeipata hii kuhusu kiasi cha pesa anachokiingiza star wa hit single ya Hello mtu wangu. Imefahamika kuwa kila siku inayopita female singer Adele anaingiza kiasi cha Paundi 84,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni mia mbili za Tanzania. 
Kiasi kikubwa na mapato yake yanatokana na albam yake iitwayo 25 iliyotoka mwaka 2015. Pia inaelezwa Adele aliingiza zaidi ya Paundi milioni 30 million kupitia kampuni yake ya Melted Stone Limited, ambayo imehusika kutoa taarifa za makusanyo ya pesa zinazoingia kila siku ambazo ni Paundi 84,000.
Mpaka sasa inaelezwa kuwa kampuni hiyo imeshamuingizia dola milioni 103 kwa kipindi cha miaka mitano.

Download application yetu na upate habari punde zinapotufikia HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni