.

Jumatatu, 17 Oktoba 2016

AKA amtema Benza

                  

Rapper wa Afrika Kusini, AKA na meneja wake Benza wa Vth Season wamevunja mkataba wao na ushirikiano wa muda mrefu.

AKA ameeleza hatua hiyo kupitia Twitter.
Tangu aachie album yake ya kwanza, Alter Ego, AKA amekuwa chini ya usimamizi wa Raphael Benza anayemiliki record label, Vth Season.
Benza anasifika kwa kufufua umaarufu wa AKA baada ya kujiondoa kwenye kundi la Entity. AKA ameachia album mbili chini ya Vth Season, kutwaa tuzo kibao na kupata ubalozi wa makampuni kama Axe, Hunters Dry na MTN.
Kupitia Twitter, AKA aliandika: I been quietly going about my business setting up my own company for the last few months now.Don’t stress y’all, this means more music, more growth & most importantly for myself and my family …. More money & a better future. You have not yet seen the best of Kiernan Forbes. Thank You for your support, but it’s time to build something for our own children.VTH Season AKA is DEAD.
Kupitia Instagram, pia rapper huyo ametangaza kupata ofisi mpya: Our new office space, some work to be done to get it up to scratch ðŸ’»ðŸ’¡ … Time to boss up in a major way.

Download application yetu na upate habari punde zitufikiapo HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni