.

Jumatatu, 31 Oktoba 2016

JUSTIN BIEBER AELEZEA ISSUE YA KUSUSIA MASHABIKI, ADAI YEYE SIO ROBOTI



Siku za hivi karibuni, muimbaji wa ‘Sorry’ hajawa na uhusiano mzuri sana na mashabiki wake, Justin Bieber ameamua kuchukua time kuelezea.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Staa huyo wa Pop aliandika ujumbe ambao baadaye aliifuta kuelezea na kuomba msamaha kwa mashabiki wake.

‘There’s going to be times where I say the wrong thing, because I’m human’, Aliandika. ‘But I don’t pretend to be perfect and I hope to God that, you know, I don’t say the right thing all the time because if that was the case then I’d be a robot, and I’m just, I’m not a robot. There’s times when I get upset … times when I get angry, there’s times when I’m going to be frustrated. But I’m always going to be myself on this stage.’
Kwenye show yake ya Manchester ya hivi karibuni, Justin Bieber alisusa kwa kutupa mic na kuondoka stejini baada ya mashabiki kumshangilia muda mrefu wakati anataka kuongea nao.

Bonyeza HAPA kudownload application yetu na upate habari punde zinapotufikia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni