.

Jumatano, 14 Septemba 2016

Waliokosoa vazi la Masogange wakiona cha moto


Video vixen wa Bongo, Agnes Masogange
ambae alikuwa anasherehekea siku yake
yakuzaliwa hapa majuzi Na watu kadhaa walihudhuria na kusherehekea kwa pamoja.
Agnes au Didithebaddest awatolea uvivu Watu Kukosoa nguo yake baada ya kuonekana akificha kitu sehemu yake ya mbele kwenye birthday yake!!! Aandika mazito na matusi juu…


By @officialagnes1
“Sikien nyie ma(tusi) mnaojua kutoa kasoro za watu mbuzi nyie hamnaga kazi zakufanya kazi kufwatilia maisha ya watu humu Instagram Na kukosoa watu Cjui alie nitengenezea Nguo amekosea cjui Nguo mbaya cjui cjapendeza ckien nyie ma(tusi) nipendeze nisipendeze cjawavalia alienipa hela yanguo akinisifia bas inatosha nyie wala hamkunipa pesa ya kununua nguo sasa cjui hiyo midomo yenu inawatoka funza mpk kuongea huo uku(tusi) wenu mbwa nyie hapo mlipo mnamaisha magumu siajabu hata Iphone hamjawah kumilik mko busy na vitekno vyenu kutowa kasoro watu humu ndani siogop ku(tusi) yyt nimechoka sasa maana mnapenda kuwapanda watu.”
Na hizi nibaadhi ya picha zake za birthday yake.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni