.

Jumanne, 13 Septemba 2016

Sallam achukizwa na Suprise ya Ali Kiba


Kwa post hii ya meneja wa Diamond ni dhahiri hakufurahishwa na kitendo cha Alikiba kitokea kwenye show ambayo Diamond ndiye alikuwa msanii official.
Show hiyo ilikuwa mombasa kenya ambapo kwa muda DiamondPlatnumz alikuwa akifanya promo mitandaoni kuwa ataperform lakini hakukuwa na post yyte kwa Alikiba lakini ghafla siku ya show alionekana jukwaani akiperform kama Suprise kwa mashabiki waliofika kwenye show.
Inavyoonekana alikiba alijua uwepo wa Diamond ila diamond hakujua kama alikiba angekuwepo.
Hii imekuwa show ya kwanza kwa diamond na alikiba kukutana kwenye jukwaa moja nje ya nchi.
Sallam ameandika maneno hayo hapo juu akionyesha hakupendezwa na kile kilichofanywa kwenye tamasha hilo(Na waandaaji).
“PALE UNAPOKUWA HUWEZI KUWAFANYA MASHABIKI KUJA UNAGEUKA SUPRISE ARTIST(MSANII WA KUSHTUKIZA)”.
Yanamaanisha hivyo sehemu ya hayo maneno.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni