.

Alhamisi, 15 Septemba 2016

Kanye West na Drake wachanwa na Kid Cudi


aada ya rapa/producer Kid Cudi kuweka pembeni na wasanii wakubwa ambao ni washkaji zake Drake na Kanye West, jamaa kaamua kumwaga mboga kabisa,
Kupitia twitter Kid analalamika kuwa ametumiwa tu na Drake na kubwagwa, na kwamba ana HATERS kibao kwenye muziki.
Kid aliendelea kusema “Mnajisifu mpo kwenye top 5 rappers wakati mnawatu zaidi ya 30 wana waandikia nyimbo,Watu wanakuona wamuhimu pale unapokuwa juu yao kwa nguvu zako mwenyewe, twit zangu ni kwa Drake na hao wengine, hawanijali kabisa
I need yall to know I got so many haters within the industry and these clowns know Im bout to crush their entire existance, Everyone thinks they’re soooo great. Talkin top 5 and be having 30 people write songs for them,My tweets apply to who they apply. Ye, Drake, whoever. These ni**as dont give a f**k about me. And they aint fuckin with me, “Ni**as keep you close when they see how powerful you are by yourself. When they see your greatness. Out of fear“.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni