.

Jumamosi, 10 Septemba 2016

Justin Bieber na mpenzi wake sasa wana tattoo za kufanana.



Mtoto wa mwimbaji mkongwe ‘Lionel Richie’ ambaye kwa sasa ndio mpenzi waJustin Bieber Sofia Richie amechora tattoo ya msalaba kwenye kidole chake kama ya Justin Bieber iliyopo pembeni ya jicho lake.
Sofia aliandika instagra “Wanted this cross forever!!” Tattoo ya Sofia imechorwa na mtu aliyemchora Justin tattoo yake JonBoy kutoka New York,
jb-1jb-3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni