.

Ijumaa, 23 Septemba 2016

Chris Brown awekewa kikwazo na Japan


Chris Brown bado anasumbuliwa na majanga kila kona, jingine jipya ni kwamba Breezy amenyimwaVisa ya kuingia nchini Japan.
Kupitia mtandao wa Tmz umeripoti kwamba Chris Brown amenyimwa Visa ya kuingia nchini Japankutokana na sakata lililotekea nyumbani kwake la kumtishia silaha mwanadada Baylee Curran na kusababisha brown nyumba yake kuzungukwa na kikosi cha mapolisi, Sasa Japan imeamua kumkazia Chris brown kuperforme katika tamasha lake linalotarajiwa kuanza tarehe 26 hadi 27 mwezi huu jijini Tokyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni