Wanasema muziki ni lugha ya dunia, wimbo mpya wa Diamond ‘Salome’ haujawakuna mashabiki wanaojua kiswahili tu bali hata wasioelewa.
Muigizaji maarufu wa Nollywood, Chinedu Ikedieze ni mmoja ya watu waliokunwa na wimbo huo wenye vionjo vya asili kabisa ya Tanzania.
“Ds is classical. I dont understand d lyrics but d correlation of d beats in BLOODY, Kudos bro I’m a Big fan” amecomment kwenye kwenye Instagram ya Diamond.
Chinedu alipata umaarufu mkubwa kupitia filamu za vichekesho za ‘Aki na Ukwa’
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni